Eckernforde Tanga University Diploma and Certificate Admissions 2017/ 2018

Eckernforde Tanga University Diploma and Certificate Admissions 2017/ 2018

ETU Diploma and Certificate Admissions

Visit Admissions / Intakes for Universities in Tanzania for More Details

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO

WA 2024-2025 KATIKA KOZI ZIFUATAZO:

S/N

KOZI

MUDA

SIFA ZA KUJIUNGA

ADA KWA

(PROGRAMME)

(Duration)

(Entry Qualifications)

MWAKA

1. STASHAHADA YA UZAMILI YA UTAWALA

Mwaka mmoja

Awe na Shahada ya kwanza katika fani

1,900,000/=

NA UONGOZI (Postgraduate Diploma in

yoyote kutoka chuo kinachotambulikana na

Management – PGDM)

serikali (Any Bachelor Degree from a

recognized Institution).

2.

KOZI ZA DIPLOMA

Angalau awe na “D” Nne katika masomo ya

(DIPLOMA PROGRAMMES)

Miaka miwili

kidato cha nne pamoja na sifa moja wapo kati

870,000/=

Diploma in Accountancy

ya hizi zifuatazo:

Diploma in Business Administration

Angalau awe na Principal 1 na Subsidiary

Diploma in Community Development

moja kwa masomo ya kidato cha sita au

Diploma in Information and Communication

Awe na Cheti (Certificate) kinachoendana na

Technology

kozi husika

3.KOZI NGAZI YA CHETI (CERTIFICATE

PROGRAMMES)

Mwaka mmoja Awe na ufaulu angalau alama “D” Nne katika

770,000/=

i.

Certificate in Accountancy

masomo ya Kidato cha Nne.

ii.Certificate in Business Administration

iii.Certificate in Community Development

iv.Certificate in Information and Communication Technology

4 KOZI ZA SAYANSI ZA AFYA NGAZI YA

Awe na ufaulu wa alama “C” katika masomo ya : Kemia na

DIPLOMA:

Miaka mitatu

Baolojia na ‘’ D’’ katika somo la Fizikia katika kidato cha nne:

i.

UTABIBU (Clinical Medicine)

ii.

MAABARA (Medical Laboratory

Pia awe na ufaulu wa alama “D” katika somo la Hisabati (Basic

Technology)

Mathematics) na Kiingereza (English) katika kidato cha nne

iii.UUGUZI (Nursing)

B) KOZI ZA SAYANSI ZA AFYA NGAZI YA Miaka mitatu

Awe na ufaulu wa alama “D” katika masomo ya Fizikia, Chemia na

CHETI (Certificate):

Baolojia katika kidato cha nne

i.

UTABIBU (Clinical Medicine)

ii.

MAABARA (Medical Laboratory

Pia awe na ufaulu wa alama “D” katika somo la Hisabati (Basic

Technology)

Mathematics) na Kiingereza (English) katika kidato cha nne.

iii.UUGUZI (Nursing)

iv.

Certificate in Community Health

Mwaka mmoja

Awe na ufaulu angalau alama “D” katika la Baolojia na masomo

mengine matatu kwa ufaulu alama ‘’D’’ katika Kidato cha Nne.

NAMNA YA KUJIUNGA:

1.Fomu za kujiunga zinapatikana katika tovuti ya Chuo ambayo ni: www.etu.ac.tz Au fika Chuoni, Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga katika ofisi ya ofisi ya Usajili.

2.Gharama ya NACTE (Verification fee) ni Tshs.20,000/=

3.KWA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI: Piga simu kwa namba zifuatazo :

0717-982233; 0653702732; 0718000148 / 0763345276; 0784729724; 0712029292; 0656848774

a

Sponsored Links

Leave a Comment