Eckernforde Tanga University Diploma and Certificate Admissions 2017/ 2018
ETU Diploma and Certificate Admissions
Visit Admissions / Intakes for Universities in Tanzania for More Details
TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO
WA 2024-2025 KATIKA KOZI ZIFUATAZO:
S/N |
KOZI |
MUDA |
SIFA ZA KUJIUNGA |
ADA KWA |
|
(PROGRAMME) |
(Duration) |
(Entry Qualifications) |
MWAKA |
1. STASHAHADA YA UZAMILI YA UTAWALA |
Mwaka mmoja |
Awe na Shahada ya kwanza katika fani |
1,900,000/= |
|
|
NA UONGOZI (Postgraduate Diploma in |
|
yoyote kutoka chuo kinachotambulikana na |
|
|
Management – PGDM) |
|
serikali (Any Bachelor Degree from a |
|
|
|
|
recognized Institution). |
|
2. |
KOZI ZA DIPLOMA |
|
Angalau awe na “D” Nne katika masomo ya |
|
|
(DIPLOMA PROGRAMMES) |
Miaka miwili |
kidato cha nne pamoja na sifa moja wapo kati |
870,000/= |
|
Diploma in Accountancy |
|
ya hizi zifuatazo: |
|
|
Diploma in Business Administration |
|
Angalau awe na Principal 1 na Subsidiary |
|
|
Diploma in Community Development |
|
moja kwa masomo ya kidato cha sita au |
|
|
Diploma in Information and Communication |
|
Awe na Cheti (Certificate) kinachoendana na |
|
|
Technology |
|
kozi husika |
|
3.KOZI NGAZI YA CHETI (CERTIFICATE
PROGRAMMES) |
Mwaka mmoja Awe na ufaulu angalau alama “D” Nne katika |
770,000/= |
|
i. |
Certificate in Accountancy |
masomo ya Kidato cha Nne. |
|
ii.Certificate in Business Administration
iii.Certificate in Community Development
iv.Certificate in Information and Communication Technology
4 KOZI ZA SAYANSI ZA AFYA NGAZI YA |
|
Awe na ufaulu wa alama “C” katika masomo ya : Kemia na |
|
DIPLOMA: |
Miaka mitatu |
Baolojia na ‘’ D’’ katika somo la Fizikia katika kidato cha nne: |
|
i. |
UTABIBU (Clinical Medicine) |
|
|
ii. |
MAABARA (Medical Laboratory |
|
Pia awe na ufaulu wa alama “D” katika somo la Hisabati (Basic |
|
Technology) |
|
Mathematics) na Kiingereza (English) katika kidato cha nne |
iii.UUGUZI (Nursing)
B) KOZI ZA SAYANSI ZA AFYA NGAZI YA Miaka mitatu |
Awe na ufaulu wa alama “D” katika masomo ya Fizikia, Chemia na |
|
CHETI (Certificate): |
Baolojia katika kidato cha nne |
|
i. |
UTABIBU (Clinical Medicine) |
|
ii. |
MAABARA (Medical Laboratory |
Pia awe na ufaulu wa alama “D” katika somo la Hisabati (Basic |
|
Technology) |
Mathematics) na Kiingereza (English) katika kidato cha nne. |
iii.UUGUZI (Nursing)
iv. |
Certificate in Community Health |
Mwaka mmoja |
Awe na ufaulu angalau alama “D” katika la Baolojia na masomo |
|
|
|
mengine matatu kwa ufaulu alama ‘’D’’ katika Kidato cha Nne. |
NAMNA YA KUJIUNGA:
1.Fomu za kujiunga zinapatikana katika tovuti ya Chuo ambayo ni: www.etu.ac.tz Au fika Chuoni, Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga katika ofisi ya ofisi ya Usajili.
2.Gharama ya NACTE (Verification fee) ni Tshs.20,000/=
3.KWA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI: Piga simu kwa namba zifuatazo :
0717-982233; 0653702732; 0718000148 / 0763345276; 0784729724; 0712029292; 0656848774
a