Welcome to Ugfacts.net/ke. On this page you will find details on the following topics

KUCCPS Admission Letters KUCCPS Student Portal KUCCPS Admission Lists
FREE KNEC KCSE Past Papers FREE KNEC KCPE Past Papers List of All Past Papers 
Fees Structure for 2023-2024 KNEC KCPE KNEC KCSE
Intakes and Admissions 2023-2024 List of Courses Offered Latest Jobs in Kenya 2023-2024
TVET Applications 2023-2024 TSC KNUT
KDF Recruitment Kenya Police Recruitment Kenya Prisons Service Recruitment

Your Opinions and Questions Matter. Kindly leave your comments below and we shall attend to you promptly.

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2014 Cross Country Mock

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2014 Cross Country Mock

2014 Cross Country Mock

Kiswahili Paper 1

INSHA (Alama 40)

Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima. Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki. Kila insha isipungue maneno 400. Kila insha ina alama 20.

1.

Kama katibu wa jopo teule linaloshughulikia utekelezaji wa malengo ya ruwaza ya mwaka
2030, andika kumbukumbu za mkutano was kwanza wa kamati hiyo ulioandaliwa mwanzoni
mwa mwaka huu.

 20 marks

2.

Jamii yenye maadili itajengwa na kila mmoja wetu. Fafanua.

 20 marks

3.

Uimarishaji wa uchumi wa taifa ni jukumu la serikali. Jadili.

 20 marks

4.

Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ilimwengu.

 

 20 marks

Leave a Comment