Welcome to Ugfacts.net/ke. On this page you will find details on the following topics

KUCCPS Admission Letters KUCCPS Student Portal KUCCPS Admission Lists
FREE KNEC KCSE Past Papers FREE KNEC KCPE Past Papers List of All Past Papers 
Fees Structure for 2024-2025 KNEC KCPE KNEC KCSE
Intakes and Admissions 2024-2025 List of Courses Offered Latest Jobs in Kenya 2024-2025
TVET Applications 2024-2025 TSC KNUT
KDF Recruitment Kenya Police Recruitment Kenya Prisons Service Recruitment

Your Opinions and Questions Matter. Kindly leave your comments below and we shall attend to you promptly.

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 Question Paper / 2015 KCSE Kericho West Joint Examination

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 Question Paper / 2015 KCSE Kericho West Joint Examination

2015 KCSE Kericho West Joint Examination

Kiswahili Paper 1

1.

Lazima
Kumekuwa na ongezeko la visa vya ubakaji nchini katika siku za hivi karibuni. Wewe umeteuliwa na waziri wa usalama wa jamii kuwa katibu wa jopo linalochunguza chanzo cha visa hivi na kupendekeza njia za kusitisha uovu huu. Andika ripoti yako.

 20 marks

2.

“Ulevi wa pombe haramu umeleta madhara mengi katika jamii ya leo.” Thibitisha ukweli wa usemi huu huku ukipendekeza hatua zitakazochukuliwa na serikali na jamii kutatua tatizo hili.

 20 marks

3.

Andika insha itakayodhihirisha ukweli wa methali hii.
Sikio la kufa halisikii dawa.

 20 marks

4.

Tunga kisa kitakachoisha kwa maneno yafuatayo:
… Hapo ndipo nilipogutuka kutoka usingizini. Mwili wangu ulikuwa umeloa jasho, nao moyo ulinipapa. Ndipo nilipong’amua kuwa yote hayo yalikuwa ruiya tu.

 20 marks

Leave a Comment