Welcome to Ugfacts.net/ke. On this page you will find details on the following topics

KUCCPS Admission Letters KUCCPS Student Portal KUCCPS Admission Lists
FREE KNEC KCSE Past Papers FREE KNEC KCPE Past Papers List of All Past Papers 
Fees Structure for 2024-2025 KNEC KCPE KNEC KCSE
Intakes and Admissions 2024-2025 List of Courses Offered Latest Jobs in Kenya 2024-2025
TVET Applications 2024-2025 TSC KNUT
KDF Recruitment Kenya Police Recruitment Kenya Prisons Service Recruitment

Your Opinions and Questions Matter. Kindly leave your comments below and we shall attend to you promptly.

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 Question Paper / 2015 KCSE Kirinyaga West

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 Question Paper / 2015 KCSE Kirinyaga West

2015 KCSE Kirinyaga West

Kiswahili Paper 1

1.

Insha ya lazima
Andika dayolojia kati ya katibu wa usalama wa ndani na waandishi wa habari kuhusu jinsi ya kuzuia uhalifu nchini

 20 marks

2.

Sheria zinazombagua mwanaume na kumpendelea mwanamke zinafaa kutupiliwa mbali. Fafanua

 20 marks

3.

Mpiga ngumi ukuta huumiza mkonowe.

 20 marks

4.

Andika insha itakayoanza kwa maneno haya

Lo, yaliyotendeka katika makazi ya jirani yetu usiku huo yalikuwa ya kutisha sana. Kumbe watu wamegeuka hayawani! Hayawani …………………………………..

 20 marks

Leave a Comment