KNEC KCSE Kiswahili Paper 3 – 2015 – Machakos County Trial
KNEC KCSE Kiswahili Paper 3 – 2015 – Machakos County Trial 2015 KCSE Machakos County Trial Kiswahili Paper 3 SEHEMU YA A (Alama 20) SHAIRI (Lazima) 1. Nimechoka Nilivyofikisha hapa, na juu kupandishwa Na kwa hila gani, au, zilipofungwa Ncha za waya hii ngumu ya maisha, sijui. Wanadamu wameinama.Wanasali kwa haraka sasa. Utafikiri wanahesabu mchanga … Read more