KNEC KCSE Kiswahili Paper 3 Question Paper / 2016 KCSE KAMDARA JET Examination

KNEC KCSE Kiswahili Paper 3 Question Paper / 2016 KCSE KAMDARA JET Examination 2016 KCSE KAMDARA JET Examination Kiswahili Paper 3 SEHEMU YA A (Alama 20) USHAIRI: Swali la lazima 1. ULIYATAKA MWENYEWE: D.P.B Massamba Alikwamba wako mama, kajifanya hupuliki, Kakuasa kila jema, ukawa ng’oo! hutaki, Sasa yamekusakama, popote hapashikiki, Uliyataka mwenyewe! Babayo lipokuonya, ukamwona ana … Read more