KNEC KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)

KNEC KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Insha 1. Lazima Shirika la kigeni la Tugawane limeanzisha kiwanda cha kutengenezea matofali katika eneobunge Ienu. Mwandikie barua Mhariri wa Gazeti la Mzalendo ukitoa maoni yako kuhusu faida na changamoto zinazoweza kutokana na mradi huu. 2. Andika insha kuhusu umuhimu … Read more