Kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam 2017/2018
TANGAZO MUHIMU
KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KWA MWAKA 2017/2018
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kinawatangazia wale wote waliochaguliwa kujiunga na shahada za awali kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kuwa wanatakiwa kuwasili Chuoni siku ya Jumamosi tarehe 28 Oktoba 2017 kuanzia saa mbili asubuhi.
PROF. FLORENS. D.A.M. LUOGA
NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO – TAALUMA
10 OKTOBA, 2017
See also
HESLB | Higher Education Students Loan Board |
Fisheries Education and Training Agency | FETA |
TCU | Tanzania Commission for Universities |
National Council for Technical Education | NACTE |
Admissions for Universities in Tanzania
Examination Results for Universities in Tanzania
Selected Candidates / Applicants
Necta Examination Results
International Scholarships for Tanzanians to Study Abroad