KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2015 – Machakos County Trial
2015 KCSE Machakos County Trial
Kiswahili Paper 1
Jibu jumla ya maswali mawili. Swali la kwanza ni la lazima.
1.
INSHA YA LAZIMA
Wewe ni katibu wa jopo lililoteuliwa kuchunguza changamoto zinazokabili uchapishaji wa vitabu vya
Kiswahili nchini.Andika ripoti hiyo.
20 marks
2.
Samaki mkunje angali mbichi.
20 marks
3.
Serikali za ugatuzi zitakuwa na manufaa kwa maendeleo ya nchi.Jadili.
20 marks
4.
Andika insha itakayomalizika kwa maneno haya………
Niliyakumbuka maneno ya mwalimu mkuu,machozi yalitoka njia mbilimbili.Hayawi hayawi huwa.
20 marks