Upatikanaji wa tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kupitia tovuti ya SUA
Jukumu kubwa la sekretarieti ya ajira ni kuwezesha upatikanaji wa wataalamu wanaohitajika kuajiriwa katika utumishi wa umma wenye sifa na weledi.
Sasa wanafunzi na wadau wengine wanaweza kunufaika na taarifa na fursa za ajira serikalini kwa kutembelea tovuti ya sekretarieti: www.ajira.go.tz au kupitia tovuti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo eneo la “Quick links”
See also