Contents
hide
HESLB Loan Defaulters
FIRST BATCH OF LOAN BENEFICIARIES WHO HAVE NOT STARTED TO REPAY THEIR LOANS
See also
HESLB News and Updates
HESLB Loan Application Deadline
Historical Background of HESLB Tanzania
DEAR HELSB,
HABARINI ZA KAZI!NILIKUWA NA MKOPO KUTOKA LOAN BOARD LAKINI NILIKUWA NIKIKATWA KUPITIA MSHAHARA WANGU KILA MWEZI HADI DENI LILIPOMALIZIKA. LAKINI KUANZIA MWEZI APRILI 2018 NIMEANZA KUKATWA TENA KUPITIA MSHAHARA WANGU. NAJIULIZA YAFUATAYO:
1. KWA NINI MAKATO YAMEANZA TENA?
2.NINA HAKIKA KUNA MAKOSA YAMEFANYIKA HELSB, TARATIBU ZIPI SASA NAWEZA ZIFUATA ILI KUMALIZA UTATA HUU?
3. PESA NINAYOKATWA, NITAREJESHEWA ENDAPO ITABAINIKA MKOPO NILISHAMALIZA?