SUA Mabadiliko ya tarehe ya kuitwa kwenye Usaili (Oral interview) 2017 – 2018
SUA Mabadiliko ya tarehe ya kuitwa kwenye Usaili (Oral interview) 2017 – 2018 Kufuatia maombi ya kazi na utaratibu wa awali wa usaili wa kuandika uliofanyika, mnaarifiwa kuhudhuria usaili (oral interview) wa nafasi ya Mhudumu wa misitu (Forest attendant III),Mhudumu wa miliki/Mazingira (Estate Attendant III), Mhudumu wa mazao ya misitu (Logger attendant III) Mhudumu wa karakana … Read more