Upatikanaji wa tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kupitia tovuti ya SUA

Upatikanaji wa tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kupitia tovuti ya SUA

Jukumu kubwa la sekretarieti ya ajira ni kuwezesha upatikanaji wa wataalamu wanaohitajika kuajiriwa katika utumishi wa umma wenye sifa na weledi.

Sasa wanafunzi na wadau wengine wanaweza kunufaika na taarifa na fursa za ajira serikalini kwa kutembelea tovuti ya sekretarieti: www.ajira.go.tz au kupitia tovuti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo eneo la “Quick links”

See also

HESLB | Higher Education Students Loan Board |

Fisheries Education and Training Agency | FETA |

TCU | Tanzania Commission for Universities |

National Council for Technical Education | NACTE |

Admissions for Universities in Tanzania

Examination Results for Universities in Tanzania

Selected Candidates / Applicants

Necta Examination Results

International Scholarships for Tanzanians to Study Abroad

Sponsored Links

Leave a Comment