Uteuzi wa Manaibu wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe

Uteuzi wa Manaibu wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe

Visit Admissions for Universities in Tanzania for More Details on Admissions

Chuo Kikuu Mzumbe kinapenda kuufahamisha umma kwamba, Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Mh. Barnabas Samatta (Jaji Mkuu Mstaafu), amewateua Profesa Ganka Daniel Nyamsogoro kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma) na Profesa Ernest Kihanga kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha). Uteuzi wa kila mmoja wao ni kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia tarehe 13 Machi 2017 hadi 12 Machi 2021. Bonyeza hapa kusoma zaidi ….

Sponsored Links

Leave a Comment