FETA Taarifa kwa Wote Kuhusu Kuripoti chuoni kwa Awamu ya Pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza

FETA Taarifa kwa Wote Kuhusu Kuripoti chuoni kwa Awamu ya Pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza

Taarifa kwa Wote Kuhusu Kuripoti chuoni kwa Awamu ya Pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza: Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) Inapenda kuwatangazia Watu Wote kwamba Wanafunzi watakaochaguliwa na NACTE kujiunga na Chuo cha FETA wataanza kuripoti kwa awamu ya Pili kuanzia Tarehe 15/10/2016 Baada ya Uchaguzi wa Wanafuzi Hao Kukamilika. Pia Mnakumbushwa kwamba Malipo Yote yanayotakiwa kulipwa chuo Yanatakiwa Kufanyika Kupitia Akaunti namba ya Chuo yenye Jina FETA – MBEGANI CAMPUS REVENUE ACCOUNT, Account No. 21010000899 NMB BANK.

See also

Fisheries Education and Training Agency | FETA |

TCU | Tanzania Commission for Universities |

National Council for Technical Education | NACTE |

Admissions for Universities in Tanzania

Examination Results for Universities in Tanzania

Selected Candidates / Applicants

Necta Examination Results

International Scholarships for Tanzanians to Study Abroad

Sponsored Links

Leave a Comment