Welcome to Ugfacts.net/ke. On this page you will find details on the following topics

KUCCPS Admission Letters KUCCPS Student Portal KUCCPS Admission Lists
FREE KNEC KCSE Past Papers FREE KNEC KCPE Past Papers List of All Past Papers 
Fees Structure for 2024-2025 KNEC KCPE KNEC KCSE
Intakes and Admissions 2024-2025 List of Courses Offered Latest Jobs in Kenya 2024-2025
TVET Applications 2024-2025 TSC KNUT
KDF Recruitment Kenya Police Recruitment Kenya Prisons Service Recruitment

Your Opinions and Questions Matter. Kindly leave your comments below and we shall attend to you promptly.

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2014 Gatundu Mock

KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2014 Gatundu Mock

2014 Gatundu Mock

Kiswahili Paper 1

Jibu maswali mawili. Insha ya Kwanza ni ya Lazima
1.

Insha ya Lazima

Wewe ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya Lenga Juu’. Mlitalii
sehemu ya pwani mwa Kenya kwa juma moja. Andika shajara ya matukio ya kila siku.

 20 marks

2.

Uhalifu umekithili sana humu nchini. Jadili sababu zinazochangia hali hii na upendekeze
njia za kukabiliana nao.

 20 marks

3.

Udongo upatilize uli/ungali maji.

 20 marks

4.

Andika insha itakayoanzia kwa maneno haya:
Kiongozi wa dini aliposimama mbele ya waumini wake aliwaelezea vile uongozi mpya wa
ugatuzi unaendeleza ufisadi majimboni badala ya kuuzuia hapa nchini Kenya.

 20 marks

1 thought on “KNEC KCSE Kiswahili Paper 1 – 2014 Gatundu Mock”

Leave a Comment