MUM : USAJILI KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO MUM (CHETI, STASHAHADA NA SHAHADA)

MUM : USAJILI KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO MUM (CHETI, STASHAHADA NA SHAHADA) ( Muslim University of Morogoro )

Orodha zifuatazo ni wanafunzi walioomba kujiunga na MUM katika kozi mbalimbali za Diploma aidha moja kwa moja chuoni ama kupitia NACTE.

Wote wanatakiwa wafike chuoni Tarehe 8/10/2016 kwa ajili ya usajili na kuanza masomo.

Nafasi za masomo bado zipo kwenye kozi zifuatazo

a. Stashahada ya Sayansi na Teknolojia ya Maabara (Diploma in Science & Lab Technology)

b. Stashahada ya Ugavi na Ununuzi (Diploma in Procurement & Logistics Management)

c. Stashahada ya Uandishi wa Habari (Diploma in Journalism)

d. Stashahada ya Sheria na Sharia (Diploma in Law with Shariah)

e. Stashahada ya Uendeshaji wa Bank na Usimamizi wa fedha katika sharia (Diploma in Islamic Banking & Finance)

 

Piga simu 0655322220 kujua namna ya kuomba.

HONGERENI!

Sponsored Links

Leave a Comment