NAFASI ZA MASOMO KWA WANAOPENDA KUHAMIA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI

NAFASI ZA MASOMO KWA WANAOPENDA KUHAMIA CHUO KIKUU CHA

KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) ni chuo kikuu kishiriki cha chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro kinawatangazia wanafunzi na wananchi wote kuwa bado wanazo nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaopenda kuhamia kutoka vyuo vingine kuja kusoma kozi zifuatazo kwa mwaka 2016/2017:

1.Bachelor of Science in Information Technology

2.Bachelor of Science in Hospitality and Tourism Management

3.Bachelor of Accountancy

4.Bachelor of Business Administration with Education

5.Bachelor of Education – Arts

6.Bachelor of Arts in Public Administration and Management

7.Bachelor of Arts in Community Development

8.Bachelor of Arts in Mass Communication

Chuo kina hosteli nzuri pamoja na mazingira mazuri na tulivu ya kusomea. Pia chuo bado kinatoa ufadhili wa ada ya masomo wa hadi shilingi laki tano (500,000/=) kwa wanafunzi watakao soma chuoni hapa

Waombaji watume maombi yao moja kwa moja katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) kwa anuani tajwa hapo chini na chuo kitawasilisha maombi hayo katika Tume ya vyuo vikuu (TCU)

Kwa maelezo zaidi: Tembelea tovuti yetu www.smmuco.ac.tz au Fika kwenye Ofisi za Udahili

zilizopo kwenye Kampasi ya Moshi Mjini au wasiliana kwa simu namba: 0684 390-934/ 0759

736 820 AU (027) 2753720 /(027) 2757070,

Deputy Provost for Academic Affairs,

Stefano Moshi Memorial University College,

P.O Box 881, Moshi,

Kilimanjaro

Barua pepe: smmuco@smmuco.ac.tz.

Sponsored Links

Leave a Comment