TAARIFA KWA UMMA
CHUO KIKUU CH A SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA
T AARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA TAARIFA P OTOFU KUHUSU KUFUNGIWA UDAHILI WA WANAFUNZI
KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Tarehe 26/7/2016
Kuna ujumbe umesambaz wa na unaendelea kusambazwa kupitia mitandao ya kijamii hasa “Whatsapp “ kuwa Tume ya Vyuo Vikuu nchini imekifungia Chuo Kikuu cha Mbeya kutodah ili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kwa kozi zote.
Ujumbe huo unaodaiwa kutolewa siku ya Jumapili tarehe 24/ 7/2016 wenye kichwa cha habari” TCU YAFUNGIA VYUO VINGINE KUDAHILI” imeorodhesha jumla ya Vyuo ishirini na mbili ikiwemo “University of Mbeya” ujumbe huo umeleta mkanganyiko na kukihusisha Chuo tajwa na Chuo Kiku u Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya.
Uongozi wa Chuo unakanusha ujumbe huo kwamba sio kweli n a kuwaomba wananchi kuendelea kutembelea tovuti ya Chuo na Mamlaka zinazohusika na Vyuo ili kupata taarifa zilizosahihi, Mamlaka hizo ni pamoja na TCU na NACTE.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri wa kitaalamu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Mbeya University of Science and Technology Prospectus
Mbeya University of Science and Technology Short Courses
Mbeya University of Science and Technology Application Procedure ( Undergraduates )
Mbeya University of Science and Technology Application Procedure ( Diploma ) ( Government )
Mbeya University of Science and Technology Undergraduate Admissions
Mbeya University of Science and Technology Diploma Admissions
Mbeya University of Science and Technology Registration
Mbeya University of Science and Technology Contact Address
Mbeya University of Science and Technology Application Forms
Mbeya University of Science and Technology Entry Requirements
Mbeya University of Science and Technology Fees Structure
Mbeya University of Science and Technology Courses Offered
Mbeya University of Science and Technology Pages
1 thought on “TAARIFA KWA UMMA”