Tangazo la Kifo – Marehemu Omary Silika
Tangazo la Kifo – Marehemu Omary Silika Makamu Mkuu wa Chuo anasikitika kutangaza kifo cha Bwana Omary Silika kilichotokea usiku wa tarehe 15.09.2017 nyumbani kwake Buza. Kabla ya kifo chake marehemu Omary Silika alikua Muhudumu (Health Attendant) katika kitengo cha Manunuzi (PMU)-MUHAS Marehemu atazikwa kesho tarehe 17.09.2017 saa kumi (10:00) alasiri huko Buza. Uongozi wa Chuo umeandaa … Read more