UDSM Majina,Nyadhifa na vitengo CDK
Chancellor: |
Mkuu wa Chuo Kikuu (MCK) |
Vice Chancellor: |
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu (MMCK) |
Deputy Vice Chancellor, Academic: |
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma |
(NMMC-Taaluma) |
|
Deputy Vice Chancellor, Administration: |
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utawala |
(NMMC – Utawala) |
|
Deputy Vice Chancellor, Research: |
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti |
(NMMC – Utafiti) |
|
Corporate Counsel and Scretary to Council: |
Mwanasheria na Katibu wa Baraza la Chuo |
(M&KBC) |
=====================================================
WAKUU WA NDAKI, SHULE KUU, VITIVO, TAASISI PAMOJA NA WASAIDIZI WAO KATIKA VITENGO VIKUU VYA KITAALUMA
1. |
Principal, College of Natural and Applied |
Rasi, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi |
|
Sciences |
|||
2. |
Deputy Principal, College of Natural and |
Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi |
|
Applied Sciences |
|||
3. |
Principal, College of Humanities |
Rasi, Ndaki ya Insia |
|
4. |
Deputy Principal, College of Humanities |
Naibu Rasi, Ndaki ya Insia |
|
5. |
Principal, College of Social Sciences |
Rasi, Ndaki ya Sayansi za Jamii |
|
6. |
Deputy Principal, College of Social |
Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi za Jamii |
|
Sciences |
|||
7. |
Principal, College of Engineering and |
Rasi, Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia |
|
Technology |
|||
8. |
Deputy Principal, College of Engineering |
Naibu Rasi, Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia |
|
and Technology |
|||
9. |
Principal, College of Information and |
Rasi, Ndaki ya Teknolojia za Habari na Mawasiliano |
|
Communication Technologies |
|||
10. |
Deputy Principal, College of Information |
Naibu Rasi, Ndaki ya Teknolojia za Habari na |
|
and Communication Technologies |
Mawasiliano |
||
1 |
11. |
Principal,College of Agricultural Sciences |
Rasi, Ndaki ya Sayansi na Teknolojia za Kilimo na |
|||||
and Fisheries Technology |
Uvuvi |
||||||
12. |
Deputy Principal,College of Agricultural |
Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi na Teknolojia za Kilimo |
|||||
Sciences and Fisheries |
na Uvuvi |
||||||
13. |
Principal, Dar es Salaam University |
Rasi, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Dar es Salaam |
|||||
College of Education |
|||||||
14. |
Deputy Principal – Academic, Dar es |
Naibu Rasi Taaluma, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, |
|||||
Salaam University College of Education |
Dar es Salaam |
||||||
15. |
Deputy Principal – Administration Dar es |
Naibu Rasi- Utawala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, |
|||||
Salaam University College of Education |
Dar es Salaam |
||||||
Dean, Faculty of Humanities and Social |
Mtiva, Kitivo cha Insia na Sayansi za |
Jamii, |
Chuo |
||||
16. |
Sciences, Dar es Salaam University |
||||||
Kikuu Kishiriki cha Elimu,Dar es Salaam |
|||||||
College of Education |
|||||||
17. |
Dean, Faculty of Science, Dar es Salaam |
Mtiva, Kitivo cha Sayansi, Chuo Kikuu Kishiriki cha |
|||||
University College of Education |
Elimu, Dar es Salaam |
||||||
18. |
Dean, Faculty of Education, Dar es |
Mtiva, Kitivo cha Elimu, Chuo Kikuu Kishiriki cha |
|||||
Salaam University College of Education |
Elimu, Dar es Salaam |
||||||
19. |
Principal, Mkwawa University College of |
Rasi, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mkwawa |
|||||
Education |
|||||||
20. |
Deputy Principal – Academic, Mkwawa |
Naibu Rasi – Taaluma, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, |
|||||
University College of Education |
Mkwawa |
||||||
21. |
Deputy Principal – Administration, |
Naibu Rasi- Utawala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, |
|||||
Mkwawa University College of Education |
Mkwawa |
||||||
22. |
Dean, Faculty of Education, Mkwawa |
Mtiva, Kitivo cha Elimu, |
Chuo Kikuu |
Kishiriki cha |
|||
University College of Education |
Elimu, Mkwawa |
||||||
23. |
Dean, Faculty of Science, Mkwawa |
Mtiva, Kitivo cha Sayansi, |
Chuo Kikuu Kishiriki cha |
||||
University College of Education |
Elimu, Mkwawa |
||||||
Dean, Faculty of Humanities and Social |
Mtiva, Kitivo cha Insia na Sayansi za |
Jamii, |
Chuo |
||||
24. |
Sciences, Mkwawa University College of |
||||||
Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mkwawa |
|||||||
Education |
|||||||
25. |
Dean, University of Dar es Salaam School |
Amidi, Shule Kuu ya Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es |
|||||
of Law |
Salaam |
||||||
26. |
Associate Dean, University of Dar es |
Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Sheria, Chuo Kikuu cha |
|||||
Salaam School of Law |
Dar es Salaam |
||||||
27. |
Dean, School of Journalism and Mass |
Amidi, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na |
|||||
Communication |
Mawasiliano ya Umma |
||||||
28. |
Associate Dean, School of Journalism and |
Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya na Mawasiliano ya |
|||||
Mass Communication |
Umma |
||||||
29. |
Dean, University of Dar es Salaam |
Amidi , Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu cha Dar es |
|||||
Business School |
Salaam |
||||||
30. |
Associate Dean, University of Dar es |
Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu |
|||||
Salaam Business School |
cha Dar es Salaam |
||||||
31. |
Dean, University of Dar es Salaam School |
Amidi, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es |
|||||
of Education |
Salaam |
||||||
32. |
Associate Dean, University of Dar es |
Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha |
|||||
Salaam School of Education |
Dar es Salaam |
||||||
33. |
Dean, University of Dar es Salaam School |
Amidi, Shule Kuu ya Sayansi za Afya |
|||||
of Health Sciences |
|||||||
34. |
Associate Dean, University of Dar es |
Amidi Mshiriki, Mshiriki, |
Shule Kuu ya Sayansi za |
||||
2 |
|||||||
Salaam School of Health Sciences |
Afya |
||||||||||||
35. |
Director, Institute of Kiswahili Studies |
Mkurugenzi, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili |
|||||||||||
36. |
Associate Director, Institute of Kiswahili |
Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili |
|||||||||||
Studies |
|||||||||||||
37. |
Director, Institute of Development Studies |
Mkurugenzi, Taasisi ya Taaluma za Maendeleo |
|||||||||||
38. |
Associate Director, Institute of |
Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Taaluma za Maendeleo |
|||||||||||
Development Studies |
|||||||||||||
39. |
Director, Institute of Resource Assessment |
Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini ya Rasilimali |
|||||||||||
40. |
Associate Director, Institute of Resource |
Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Tathmini ya Rasilimali |
|||||||||||
Assessment |
|||||||||||||
41. |
Director, Institute of Marine Sciences |
Mkurugenzi, Taasisi ya Sayansi Bahari |
|||||||||||
42. |
Associate Director, Institute of Marine |
Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Sayansi Bahari |
|||||||||||
Sciences |
|||||||||||||
WAKURUGENZI, MANAIBU WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASHIRIKI, |
|||||||||||||
MAMENEJA, WENYEVITI NA WARATIBU WA VITUO NA VITENGO |
|||||||||||||
1. |
Director, Quality Assurance Bureau |
Mkurugenzi, Kitengo cha Udhibiti Ubora |
|||||||||||
2. |
Deputy Director, Quality Assurance Bureau |
Naibu Mkurugenzi, Kitengo cha Udhibiti |
|||||||||||
Ubora |
|||||||||||||
3. |
Director, Centre for Virtual Learning |
Mkurugenzi, Kituo cha Ujifunzaji Kitalifa |
|||||||||||
4. |
Associate Director, Centre for Virtual Learning |
Mkurugenzi Mshiriki, Kituo cha Ujifunzaji |
|||||||||||
Kitalifa |
|||||||||||||
5. |
Director, Gender Centre |
Mkurugenzi, Kituo cha Jinsia |
|||||||||||
6. |
Director, |
VC’s Office |
Mkurugenzi, Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo |
||||||||||
7. |
Director, |
Dr. Wilbert Chagula |
University |
Mkurugenzi, Maktaba ya Chuo Kikuu ya Dkt. |
|||||||||
Library |
Wilbert Chagula |
||||||||||||
8. |
Associate |
Director, Dr. Wilbert |
Chagula |
Mkurugenzi Mshiriki, Maktaba ya ChuoKikuu |
|||||||||
University Library |
ya Dkt. Wilbert |
Chagula |
|||||||||||
9. |
Director, Directorate of Postgraduate Studies |
Mkurugenzi, |
Kurugenzi |
ya Masomo ya |
|||||||||
Uzamili |
|||||||||||||
10. |
Deputy Director of Postgraduate Studies |
Naibu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya |
|||||||||||
Uzamili |
|||||||||||||
11. |
Director, Directorate of Undergraduate Studies |
Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya |
|||||||||||
Shahada za Awali |
|||||||||||||
12. |
Deputy Director, Directorate of Undergraduate |
Naibu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya |
|||||||||||
Studies |
Shahada za Awali |
||||||||||||
13. |
Director of Planning and Development |
Mkurugenzi wa Mipango na Maendeleo |
|||||||||||
14. |
Director, Planning and Finance |
Mkurugenzi, Mipango na |
Fedha |
||||||||||
15. |
Deputy Director, Planning |
Naibu Mkurugenzi, Mipango |
|||||||||||
16. |
Deputy Director, Finance (Bursar) |
Naibu Mkurugenzi, Fedha (Msarifu) |
|||||||||||
17. |
Director of Research and Publication |
Mkurugenzi wa Utafiti na Uchapishaji |
|||||||||||
3 |
|||||||||||||
18. |
Director, |
Investment |
and |
Resource |
Mkurugenzi, Uwekezaji na Uhamasishaji |
||||||||||
Mobilization |
Rasilimali |
||||||||||||||
19. |
Managing |
Director, University |
Computing |
Mkurugenzi |
Mtendaji, |
Kituo |
cha |
Kompyuta |
|||||||
Centre |
cha Chuo Kikuu |
||||||||||||||
20. |
Dean of Students |
Mshauri wa Wanafunzi |
|||||||||||||
21. |
Chief Internal Auditor |
Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu wa Ndani |
|||||||||||||
22. |
Managing Director, Dar es Salaam University |
Mkurugenzi Mtendaji, Matbaa ya Chuo Kikuu |
|||||||||||||
Press |
cha Dar es Saalam |
||||||||||||||
23. |
Director, Human Resources and |
Mkurugenzi, Rasilimali Watu na Utawala |
|||||||||||||
Administration |
|||||||||||||||
24. |
Director of |
Internationalisation |
Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa |
||||||||||||
25. |
Co-Director, Confucius Institute (UDSM) |
Mkurugenzi |
Mwenza,Taasisi |
ya |
Confucius |
||||||||||
(CKD) |
|||||||||||||||
26. |
Co-Director, Confucius Institute (ZNU) |
Mkurugenzi |
Mwenza, |
Taasisi ya |
Confucius |
||||||||||
(ZNU) |
|||||||||||||||
27. |
Associate Director, Centre for Climate Change |
Mkurugenzi |
Mshiriki, Kituo |
cha Taaluma |
za |
||||||||||
Studies |
Mabadiliko ya Tabianchi |
||||||||||||||
28. |
Director, Social Services |
Mkurugenzi, Huduma za Jamii |
|||||||||||||
29. |
Director, Public Services |
Mkurugenzi, Huduma kwa Umma |
|||||||||||||
30. |
Director, Estates Services |
Mkurugenzi, Huduma za Miliki |
|||||||||||||
31. |
Director, Innovation and Entrepreneurship |
Mkurugenzi, Uvumbuzi na Ujasiriamali |
|||||||||||||
32. |
Director, Investment and Income Generation |
Mkurugenzi, Uwekezaji na Uzalishaji Mapato |
|||||||||||||
33. |
Manager, ICT |
Meneja, TEHAMA |
|||||||||||||
34. |
Intellectual Property Manager |
Meneja wa Miliki Dhihini |
|||||||||||||
35. |
Manager, Advancement and Convocation |
Meneja, |
Uendelezi |
Chuo |
na |
Baraza |
la |
||||||||
Wahitimu |
|||||||||||||||
36. |
Manager, University Students’ Accommodation |
Meneja, Kitengo cha Malazi ya Wanafunzi wa |
|||||||||||||
Bureau |
CKD |
||||||||||||||
37. |
Manager, Procurement Management Unit |
Meneja, Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi |
|||||||||||||
Mwalimu Julius Nyerere Professor in Pan- |
Profesa |
wa |
Kigoda |
cha |
Mwalimu |
Julius |
|||||||||
38. |
Nyerere |
katika Taaluma |
za |
Umajumui |
wa |
||||||||||
African Studies |
|||||||||||||||
Afrika |
|||||||||||||||
Mwalimu Julius Nyerere Professor in |
Profesa |
wa |
Kigoda |
cha |
Mwalimu |
Julius |
|||||||||
39. |
Nyerere |
katika Mazingira |
na |
Mabadiliko |
ya |
||||||||||
Environment and Climate Change |
|||||||||||||||
Tabianchi |
|||||||||||||||
40. |
Mwalimu Julius Nyerere Professor in |
Profesa |
wa |
Kigoda |
cha |
Mwalimu |
Julius |
||||||||
Development |
Nyerere katika Maendeleo |
||||||||||||||
41. |
Coordinator, University Communication and |
Mratibu, Habari na Mawasiliano ya Chuo |
|||||||||||||
Information |
|||||||||||||||
42. |
Coordinator, UDSM Entrepreneurship Centre |
Mratibu, Kituo cha Ujasiriamali, CKD |
|||||||||||||
4 |
|||||||||||||||
43. |
Coordinator, University Consultancy Bureau |
Mratibu, Kitengo cha Ushauri cha Chuo |
||||||||||||
44. |
Coordinator, Continuing Education |
Mratibu, Elimu Endelezi |
||||||||||||
WAKUU WA IDARA NA VITUO |
||||||||||||||
Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani |
||||||||||||||
NDAKI YA INSIA |
||||||||||||||
1. |
Head, Department of Creative Arts |
Mudiri, Idara ya Sanaa za Ubunifu |
||||||||||||
2. |
Head, Department of History |
Mudiri, Idara ya Historia |
||||||||||||
3. |
Head, Department of Foreign Languages and |
Mudiri, Idara ya Lugha za Kigeni na Isimu |
||||||||||||
Linguistics |
||||||||||||||
4. |
Head, Department of Literature |
Mudiri, Idara ya Fasihi |
||||||||||||
5. |
Head, Department of Archaeology and |
Mudiri, Idara ya Akiolojia na Turathi |
||||||||||||
Heritage |
||||||||||||||
6. |
Head, Department of Philosophy and Religious |
Mudiri, Idara ya Falsafa na Taaluma za Dini |
||||||||||||
Studies |
||||||||||||||
VITUO |
||||||||||||||
7. |
Director, Centre for Communication Studies |
Mkurugenzi, |
Kituo |
cha |
Taaluma |
za |
||||||||
Mawasiliano |
||||||||||||||
NDAKI YA SAYANSI ZA JAMII |
||||||||||||||
1. |
Head, Department of Economics |
Mudiri, Idara ya Uchumi |
||||||||||||
2. |
Head, Department of Geography |
Mudiri, Idara ya Jiografia |
||||||||||||
3. |
Head, Department of Political Science and Public |
Mudiri, Idara ya |
Sayansi |
ya Siasa |
na |
|||||||||
Administration |
Utawala wa Umma |
|||||||||||||
4. |
Head, |
Department |
of |
Sociology |
and |
Mudiri, |
Idara |
ya |
Sosholojia |
na |
||||
Anthropology |
Anthropolojia |
|||||||||||||
5. |
Head, Department of Statistics |
Mudiri, Idara ya Takwimu |
||||||||||||
NDAKI YA SAYANSI ASILIA NA TUMIZI |
||||||||||||||
1. |
Head, Department of Aquatic Sciences and |
Mudiri, Idara ya Sayansi Akua na Uvuvi |
||||||||||||
Fisheries |
||||||||||||||
2. |
Head, Department of Botany |
Mudiri, Idara ya Botania |
||||||||||||
3. |
Head, Department of Chemistry |
Mudiri, Idara ya Kemia |
||||||||||||
4. |
Head, Department of Geology |
Mudiri, Idara ya Jiolojia |
||||||||||||
5. |
Head, Department of Mathematics |
Mudiri, Idara ya Hisabati |
6. |
Head, Department of Molecular Biology and |
Mudiri, Biolojia Molekuli na Bioteknolojia |
|
Biotechnology |
|||
7. |
Head, Department of Physics |
Mudiri, Idara ya Fizikia |
|
8. |
Head, Department of Zoology and Wildlife |
Mudiri, Idara ya Zoolojia na Uhifadhi wa |
|
Conservation |
Viumbepori |
||
NDAKI YA UHANDISI NA TEKNOLOJIA
1. |
Head, Department of Chemical and Mining |
Mudiri, |
Idara |
ya |
Uhandisi |
Kemikali |
na |
|||||
Engineering |
Uchimbaji Madini |
|||||||||||
2. |
Head, Department of Electrical Engineering |
Mudiri, Idara ya Uhandisi Umeme |
||||||||||
3. |
Head, |
Department |
of |
Mechanical |
and |
Mudiri, |
Idara |
ya |
Uhandisi |
Mitambo |
na |
|
Industrial Engineering |
Viwanda |
|||||||||||
4. |
Head, |
Department |
of Structural |
and |
Mudiri, Idara ya Uhandisi Mihimili na Ujenzi |
|||||||
Construction Engineering |
||||||||||||
5. |
Head, |
Department |
of |
Transportation |
and |
Mudiri, |
Idara |
ya |
Uhandisi |
Usafirishaji |
na |
|
Geotechnical Engineering |
Jiotekniki |
|||||||||||
6. |
Head, |
Department |
of |
Water Resources |
Mudiri, Idara ya Uhandisi Rasilimali Maji |
|||||||
Engineering |
||||||||||||
NDAKI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ZA KILIMO NA UVUVI |
||||||||||||
1 |
Head, |
Department of Aquatic |
Sciences |
and |
Mudiri, Idara ya Sayansi Akua na Teknolojia |
|||||||
Fisheries Technology |
ya Uvuvi |
|||||||||||
2 |
Head, Department of Agricultural Engineering |
Mudiri, Idara ya Uhandisi Kilimo |
||||||||||
3 |
Head. |
Department |
of |
food |
Science |
and |
Mudiri, |
Idara |
ya Sayansi na |
Teknolojia |
ya |
|
Technology |
Chakula |
|||||||||||
4 |
Head, Department of Agricultural Economics |
Mudiri, Idara ya Uchumi na Biashara Kilimo |
||||||||||
and Business |
||||||||||||
5 |
Head, |
Department |
of |
Crop |
Science |
and |
Mudiri, Idara ya Sayansi ya Mazao na Ufugaji |
|||||
Beekeeping Technology |
Nyuki |
|||||||||||
NDAKI YA TEKNOLOJIA ZA HABARI NA MAWASILIANO |
||||||||||||
Head, Department of Computer Science |
Mudiri, Idara ya Sayansi ya Kompyuta |
|||||||||||
Head, Department of Electronics and |
Mudiri, |
Idara |
ya |
Uhandisi |
||||||||
Telecommunications Engineering |
Elektroniki na Mawasilianopepe |
SHULE KUU YA ELIMU YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
1.Head, Department of Educational Foundations, Mudiri, Idara ya Misingi ya Elimu,
Management and Lifelong Learning |
Menejimenti na Elimu Isoukomo |
2.Head, Department of Educational Psychology Mudiri, Idara ya Saikolojia Elimu na Taaluma
and Curriculum Studies |
za Mitaala |
||
VITUO |
|||
3. |
Coordinator, Sports and Games |
Mratibu, Kituo cha Michezo |
|
6 |
SHULE KUU YA BIASHARA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
1. |
Head, Department of Accounting |
Mudiri, Idara ya Uhasibu |
2. |
Head, Department of Finance |
Mudiri, Idara ya Fedha |
3. |
Head, Department of General Management |
Mudiri, Idara ya Menejimenti |
4. |
Head, Department of Marketing |
Mudiri, Idara ya Masoko |
SHULE KUU YA SHERIA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
1. |
Head, Department of Economic Law |
Mudiri, Idara ya Sheria za Uchumi |
2. |
Head, Department of Private Law |
Mudiri, Idara ya Sheria za Masuala Binafsi |
3. |
Head, Department of Public Law |
Mudiri, Idara ya Sheria za Masuala ya Umma |
TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI
1.Head, Department of Kiswahili Language and Mudiri, Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu Linguistics
2. |
Head, |
Department |
of |
Literature, |
Mudiri, Idara ya Fasihi, Mawasiliano na |
Communication and Publishing |
Uchapishaji |
||||
MAAFISA TAWALA |
|||||
1 |
Principal Administrative Oficer (PAO) |
Afisa Tawala Mkuu |
|||
2 |
Senior Administrative Oficer (SAO) Senate |
Afisa Tawala Mwandamizi |
|||
KAMATI MBALIMBALI |
|||||
1 |
University Funding Promotion Committee |
Kamati ya Chuo ya Kuhamasisha |
|||
Upatikanaji Fedha |
|||||
2 |
Students’ Affairs Committee |
Kamati ya Ustawi wa Wanafunzi |
|||
3 |
Appointments Committee |
Kamati ya Ajira |
|||
4 |
Estates Committee |
Kamati ya Miliki |
|||
5 |
Audit Committee |
Kamati ya Ukaguzi wa Mahesabu |
|||
7
See also