UCC Tangazo kwa wale wote wanaofanya kazi ya muda mfupi katika Maonesho ya Sabasaba 2017

UCC Tangazo kwa wale wote wanaofanya kazi ya muda mfupi katika Maonesho ya Sabasaba 2017

Kitengo cha Kompyuta cha Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UCC), kinapenda kuwatangazia ya kwamba wale wote ambao hawakuja siku ya leo Jumatatu ya tarehe 03/07/2017 ndio wanaopaswa kuja siku ya kesho ya Jumanne ya tarehe 04/07/2017. Utaratibu wa usafiri utabaki kama mlivyotangaziwa hapo awali ambapo gari la kwanza litaondoka UCC makao Makuu Mlimani Campus saa kumi kamili alfajiri

Admissions For Universities in Tanzania

Examination Results for Universities in Tanzania

Selected Candidates / Applicants

Necta Results

Sponsored Links

1 thought on “UCC Tangazo kwa wale wote wanaofanya kazi ya muda mfupi katika Maonesho ya Sabasaba 2017”

Leave a Comment