UDSM Majina,Nyadhifa na vitengo CDK

UDSM Majina,Nyadhifa na vitengo CDK

Chancellor:

Mkuu wa Chuo Kikuu (MCK)

Vice Chancellor:

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu (MMCK)

Deputy Vice Chancellor, Academic:

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma

(NMMC-Taaluma)

Deputy Vice Chancellor, Administration:

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utawala

(NMMC – Utawala)

Deputy Vice Chancellor, Research:

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti

(NMMC – Utafiti)

Corporate Counsel and Scretary to Council:

Mwanasheria na Katibu wa Baraza la Chuo

(M&KBC)

=====================================================

WAKUU WA NDAKI, SHULE KUU, VITIVO, TAASISI PAMOJA NA WASAIDIZI WAO KATIKA VITENGO VIKUU VYA KITAALUMA

1.

Principal, College of Natural and Applied

Rasi, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi

Sciences

2.

Deputy Principal, College of Natural and

Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi

Applied Sciences

3.

Principal, College of Humanities

Rasi, Ndaki ya Insia

4.

Deputy Principal, College of Humanities

Naibu Rasi, Ndaki ya Insia

5.

Principal, College of Social Sciences

Rasi, Ndaki ya Sayansi za Jamii

6.

Deputy Principal, College of Social

Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi za Jamii

Sciences

7.

Principal, College of Engineering and

Rasi, Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia

Technology

8.

Deputy Principal, College of Engineering

Naibu Rasi, Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia

and Technology

9.

Principal, College of Information and

Rasi, Ndaki ya Teknolojia za Habari na Mawasiliano

Communication Technologies

10.

Deputy Principal, College of Information

Naibu Rasi, Ndaki ya Teknolojia za Habari na

and Communication Technologies

Mawasiliano

1

11.

Principal,College of Agricultural Sciences

Rasi, Ndaki ya Sayansi na Teknolojia za Kilimo na

and Fisheries Technology

Uvuvi

12.

Deputy Principal,College of Agricultural

Naibu Rasi, Ndaki ya Sayansi na Teknolojia za Kilimo

Sciences and Fisheries

na Uvuvi

13.

Principal, Dar es Salaam University

Rasi, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Dar es Salaam

College of Education

14.

Deputy Principal – Academic, Dar es

Naibu Rasi Taaluma, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu,

Salaam University College of Education

Dar es Salaam

15.

Deputy Principal – Administration Dar es

Naibu Rasi- Utawala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu,

Salaam University College of Education

Dar es Salaam

Dean, Faculty of Humanities and Social

Mtiva, Kitivo cha Insia na Sayansi za

Jamii,

Chuo

16.

Sciences, Dar es Salaam University

Kikuu Kishiriki cha Elimu,Dar es Salaam

College of Education

17.

Dean, Faculty of Science, Dar es Salaam

Mtiva, Kitivo cha Sayansi, Chuo Kikuu Kishiriki cha

University College of Education

Elimu, Dar es Salaam

18.

Dean, Faculty of Education, Dar es

Mtiva, Kitivo cha Elimu, Chuo Kikuu Kishiriki cha

Salaam University College of Education

Elimu, Dar es Salaam

19.

Principal, Mkwawa University College of

Rasi, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mkwawa

Education

20.

Deputy Principal – Academic, Mkwawa

Naibu Rasi – Taaluma, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu,

University College of Education

Mkwawa

21.

Deputy Principal – Administration,

Naibu Rasi- Utawala, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu,

Mkwawa University College of Education

Mkwawa

22.

Dean, Faculty of Education, Mkwawa

Mtiva, Kitivo cha Elimu,

Chuo Kikuu

Kishiriki cha

University College of Education

Elimu, Mkwawa

23.

Dean, Faculty of Science, Mkwawa

Mtiva, Kitivo cha Sayansi,

Chuo Kikuu Kishiriki cha

University College of Education

Elimu, Mkwawa

Dean, Faculty of Humanities and Social

Mtiva, Kitivo cha Insia na Sayansi za

Jamii,

Chuo

24.

Sciences, Mkwawa University College of

Kikuu Kishiriki cha Elimu, Mkwawa

Education

25.

Dean, University of Dar es Salaam School

Amidi, Shule Kuu ya Sheria, Chuo Kikuu cha Dar es

of Law

Salaam

26.

Associate Dean, University of Dar es

Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Sheria, Chuo Kikuu cha

Salaam School of Law

Dar es Salaam

27.

Dean, School of Journalism and Mass

Amidi, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na

Communication

Mawasiliano ya Umma

28.

Associate Dean, School of Journalism and

Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya na Mawasiliano ya

Mass Communication

Umma

29.

Dean, University of Dar es Salaam

Amidi , Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu cha Dar es

Business School

Salaam

30.

Associate Dean, University of Dar es

Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Biashara, Chuo Kikuu

Salaam Business School

cha Dar es Salaam

31.

Dean, University of Dar es Salaam School

Amidi, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es

of Education

Salaam

32.

Associate Dean, University of Dar es

Amidi Mshiriki, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha

Salaam School of Education

Dar es Salaam

33.

Dean, University of Dar es Salaam School

Amidi, Shule Kuu ya Sayansi za Afya

of Health Sciences

34.

Associate Dean, University of Dar es

Amidi Mshiriki, Mshiriki,

Shule Kuu ya Sayansi za

2

Salaam School of Health Sciences

Afya

35.

Director, Institute of Kiswahili Studies

Mkurugenzi, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili

36.

Associate Director, Institute of Kiswahili

Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili

Studies

37.

Director, Institute of Development Studies

Mkurugenzi, Taasisi ya Taaluma za Maendeleo

38.

Associate Director, Institute of

Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Taaluma za Maendeleo

Development Studies

39.

Director, Institute of Resource Assessment

Mkurugenzi, Taasisi ya Tathmini ya Rasilimali

40.

Associate Director, Institute of Resource

Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Tathmini ya Rasilimali

Assessment

41.

Director, Institute of Marine Sciences

Mkurugenzi, Taasisi ya Sayansi Bahari

42.

Associate Director, Institute of Marine

Mkurugenzi Mshiriki, Taasisi ya Sayansi Bahari

Sciences

WAKURUGENZI, MANAIBU WAKURUGENZI, WAKURUGENZI WASHIRIKI,

MAMENEJA, WENYEVITI NA WARATIBU WA VITUO NA VITENGO

1.

Director, Quality Assurance Bureau

Mkurugenzi, Kitengo cha Udhibiti Ubora

2.

Deputy Director, Quality Assurance Bureau

Naibu Mkurugenzi, Kitengo cha Udhibiti

Ubora

3.

Director, Centre for Virtual Learning

Mkurugenzi, Kituo cha Ujifunzaji Kitalifa

4.

Associate Director, Centre for Virtual Learning

Mkurugenzi Mshiriki, Kituo cha Ujifunzaji

Kitalifa

5.

Director, Gender Centre

Mkurugenzi, Kituo cha Jinsia

6.

Director,

VC’s Office

Mkurugenzi, Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo

7.

Director,

Dr. Wilbert Chagula

University

Mkurugenzi, Maktaba ya Chuo Kikuu ya Dkt.

Library

Wilbert Chagula

8.

Associate

Director, Dr. Wilbert

Chagula

Mkurugenzi Mshiriki, Maktaba ya ChuoKikuu

University Library

ya Dkt. Wilbert

Chagula

9.

Director, Directorate of Postgraduate Studies

Mkurugenzi,

Kurugenzi

ya Masomo ya

Uzamili

10.

Deputy Director of Postgraduate Studies

Naibu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya

Uzamili

11.

Director, Directorate of Undergraduate Studies

Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya

Shahada za Awali

12.

Deputy Director, Directorate of Undergraduate

Naibu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Masomo ya

Studies

Shahada za Awali

13.

Director of Planning and Development

Mkurugenzi wa Mipango na Maendeleo

14.

Director, Planning and Finance

Mkurugenzi, Mipango na

Fedha

15.

Deputy Director, Planning

Naibu Mkurugenzi, Mipango

16.

Deputy Director, Finance (Bursar)

Naibu Mkurugenzi, Fedha (Msarifu)

17.

Director of Research and Publication

Mkurugenzi wa Utafiti na Uchapishaji

3

18.

Director,

Investment

and

Resource

Mkurugenzi, Uwekezaji na Uhamasishaji

Mobilization

Rasilimali

19.

Managing

Director, University

Computing

Mkurugenzi

Mtendaji,

Kituo

cha

Kompyuta

Centre

cha Chuo Kikuu

20.

Dean of Students

Mshauri wa Wanafunzi

21.

Chief Internal Auditor

Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu wa Ndani

22.

Managing Director, Dar es Salaam University

Mkurugenzi Mtendaji, Matbaa ya Chuo Kikuu

Press

cha Dar es Saalam

23.

Director, Human Resources and

Mkurugenzi, Rasilimali Watu na Utawala

Administration

24.

Director of

Internationalisation

Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa

25.

Co-Director, Confucius Institute (UDSM)

Mkurugenzi

Mwenza,Taasisi

ya

Confucius

(CKD)

26.

Co-Director, Confucius Institute (ZNU)

Mkurugenzi

Mwenza,

Taasisi ya

Confucius

(ZNU)

27.

Associate Director, Centre for Climate Change

Mkurugenzi

Mshiriki, Kituo

cha Taaluma

za

Studies

Mabadiliko ya Tabianchi

28.

Director, Social Services

Mkurugenzi, Huduma za Jamii

29.

Director, Public Services

Mkurugenzi, Huduma kwa Umma

30.

Director, Estates Services

Mkurugenzi, Huduma za Miliki

31.

Director, Innovation and Entrepreneurship

Mkurugenzi, Uvumbuzi na Ujasiriamali

32.

Director, Investment and Income Generation

Mkurugenzi, Uwekezaji na Uzalishaji Mapato

33.

Manager, ICT

Meneja, TEHAMA

34.

Intellectual Property Manager

Meneja wa Miliki Dhihini

35.

Manager, Advancement and Convocation

Meneja,

Uendelezi

Chuo

na

Baraza

la

Wahitimu

36.

Manager, University Students’ Accommodation

Meneja, Kitengo cha Malazi ya Wanafunzi wa

Bureau

CKD

37.

Manager, Procurement Management Unit

Meneja, Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Mwalimu Julius Nyerere Professor in Pan-

Profesa

wa

Kigoda

cha

Mwalimu

Julius

38.

Nyerere

katika Taaluma

za

Umajumui

wa

African Studies

Afrika

Mwalimu Julius Nyerere Professor in

Profesa

wa

Kigoda

cha

Mwalimu

Julius

39.

Nyerere

katika Mazingira

na

Mabadiliko

ya

Environment and Climate Change

Tabianchi

40.

Mwalimu Julius Nyerere Professor in

Profesa

wa

Kigoda

cha

Mwalimu

Julius

Development

Nyerere katika Maendeleo

41.

Coordinator, University Communication and

Mratibu, Habari na Mawasiliano ya Chuo

Information

42.

Coordinator, UDSM Entrepreneurship Centre

Mratibu, Kituo cha Ujasiriamali, CKD

4

43.

Coordinator, University Consultancy Bureau

Mratibu, Kitengo cha Ushauri cha Chuo

44.

Coordinator, Continuing Education

Mratibu, Elimu Endelezi

WAKUU WA IDARA NA VITUO

Kampasi ya Mwalimu Julius Nyerere Mlimani

NDAKI YA INSIA

1.

Head, Department of Creative Arts

Mudiri, Idara ya Sanaa za Ubunifu

2.

Head, Department of History

Mudiri, Idara ya Historia

3.

Head, Department of Foreign Languages and

Mudiri, Idara ya Lugha za Kigeni na Isimu

Linguistics

4.

Head, Department of Literature

Mudiri, Idara ya Fasihi

5.

Head, Department of Archaeology and

Mudiri, Idara ya Akiolojia na Turathi

Heritage

6.

Head, Department of Philosophy and Religious

Mudiri, Idara ya Falsafa na Taaluma za Dini

Studies

VITUO

7.

Director, Centre for Communication Studies

Mkurugenzi,

Kituo

cha

Taaluma

za

Mawasiliano

NDAKI YA SAYANSI ZA JAMII

1.

Head, Department of Economics

Mudiri, Idara ya Uchumi

2.

Head, Department of Geography

Mudiri, Idara ya Jiografia

3.

Head, Department of Political Science and Public

Mudiri, Idara ya

Sayansi

ya Siasa

na

Administration

Utawala wa Umma

4.

Head,

Department

of

Sociology

and

Mudiri,

Idara

ya

Sosholojia

na

Anthropology

Anthropolojia

5.

Head, Department of Statistics

Mudiri, Idara ya Takwimu

NDAKI YA SAYANSI ASILIA NA TUMIZI

1.

Head, Department of Aquatic Sciences and

Mudiri, Idara ya Sayansi Akua na Uvuvi

Fisheries

2.

Head, Department of Botany

Mudiri, Idara ya Botania

3.

Head, Department of Chemistry

Mudiri, Idara ya Kemia

4.

Head, Department of Geology

Mudiri, Idara ya Jiolojia

5.

Head, Department of Mathematics

Mudiri, Idara ya Hisabati

6.

Head, Department of Molecular Biology and

Mudiri, Biolojia Molekuli na Bioteknolojia

Biotechnology

7.

Head, Department of Physics

Mudiri, Idara ya Fizikia

8.

Head, Department of Zoology and Wildlife

Mudiri, Idara ya Zoolojia na Uhifadhi wa

Conservation

Viumbepori

NDAKI YA UHANDISI NA TEKNOLOJIA

1.

Head, Department of Chemical and Mining

Mudiri,

Idara

ya

Uhandisi

Kemikali

na

Engineering

Uchimbaji Madini

2.

Head, Department of Electrical Engineering

Mudiri, Idara ya Uhandisi Umeme

3.

Head,

Department

of

Mechanical

and

Mudiri,

Idara

ya

Uhandisi

Mitambo

na

Industrial Engineering

Viwanda

4.

Head,

Department

of Structural

and

Mudiri, Idara ya Uhandisi Mihimili na Ujenzi

Construction Engineering

5.

Head,

Department

of

Transportation

and

Mudiri,

Idara

ya

Uhandisi

Usafirishaji

na

Geotechnical Engineering

Jiotekniki

6.

Head,

Department

of

Water Resources

Mudiri, Idara ya Uhandisi Rasilimali Maji

Engineering

NDAKI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ZA KILIMO NA UVUVI

1

Head,

Department of Aquatic

Sciences

and

Mudiri, Idara ya Sayansi Akua na Teknolojia

Fisheries Technology

ya Uvuvi

2

Head, Department of Agricultural Engineering

Mudiri, Idara ya Uhandisi Kilimo

3

Head.

Department

of

food

Science

and

Mudiri,

Idara

ya Sayansi na

Teknolojia

ya

Technology

Chakula

4

Head, Department of Agricultural Economics

Mudiri, Idara ya Uchumi na Biashara Kilimo

and Business

5

Head,

Department

of

Crop

Science

and

Mudiri, Idara ya Sayansi ya Mazao na Ufugaji

Beekeeping Technology

Nyuki

NDAKI YA TEKNOLOJIA ZA HABARI NA MAWASILIANO

Head, Department of Computer Science

Mudiri, Idara ya Sayansi ya Kompyuta

Head, Department of Electronics and

Mudiri,

Idara

ya

Uhandisi

Telecommunications Engineering

Elektroniki na Mawasilianopepe

SHULE KUU YA ELIMU YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

1.Head, Department of Educational Foundations, Mudiri, Idara ya Misingi ya Elimu,

Management and Lifelong Learning

Menejimenti na Elimu Isoukomo

2.Head, Department of Educational Psychology Mudiri, Idara ya Saikolojia Elimu na Taaluma

and Curriculum Studies

za Mitaala

VITUO

3.

Coordinator, Sports and Games

Mratibu, Kituo cha Michezo

6

SHULE KUU YA BIASHARA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

1.

Head, Department of Accounting

Mudiri, Idara ya Uhasibu

2.

Head, Department of Finance

Mudiri, Idara ya Fedha

3.

Head, Department of General Management

Mudiri, Idara ya Menejimenti

4.

Head, Department of Marketing

Mudiri, Idara ya Masoko

SHULE KUU YA SHERIA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

1.

Head, Department of Economic Law

Mudiri, Idara ya Sheria za Uchumi

2.

Head, Department of Private Law

Mudiri, Idara ya Sheria za Masuala Binafsi

3.

Head, Department of Public Law

Mudiri, Idara ya Sheria za Masuala ya Umma

TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI

1.Head, Department of Kiswahili Language and Mudiri, Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu Linguistics

2.

Head,

Department

of

Literature,

Mudiri, Idara ya Fasihi, Mawasiliano na

Communication and Publishing

Uchapishaji

MAAFISA TAWALA

1

Principal Administrative Oficer (PAO)

Afisa Tawala Mkuu

2

Senior Administrative Oficer (SAO) Senate

Afisa Tawala Mwandamizi

KAMATI MBALIMBALI

1

University Funding Promotion Committee

Kamati ya Chuo ya Kuhamasisha

Upatikanaji Fedha

2

Students’ Affairs Committee

Kamati ya Ustawi wa Wanafunzi

3

Appointments Committee

Kamati ya Ajira

4

Estates Committee

Kamati ya Miliki

5

Audit Committee

Kamati ya Ukaguzi wa Mahesabu

7

See also

University of Arusha Pages

Admissions for Universities in Tanzania

Examination Results for Universities in Tanzania

Selected Candidates / Applicants

Necta Examination Results

International Scholarships for Tanzanians to Study Abroad

Sponsored Links

Leave a Comment