Ratiba ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya 17 ya Mwalimu Julius K. Nyerere

Ratiba ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya 17 ya Mwalimu Julius K. Nyerere

Ni Alhamisi hii tarehe 13 Oktoba, 2016 katika Ukumbi wa “Nelson Mandela Freedom Square” Kampasi ya Solomon Mahlangu.

[embeddoc url=”https://ugfacts.net/wp-content/uploads/sites/3/2016/10/nyerere2016.pdf” download=”all”]

CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO MOROGORO

RATIBA YA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA 17 YA MWALIMU JULIUS K. NYERERE, ALHAMISI TAREHE 13 OKTOBA, 2016 “NELSON MANDELA FREEDOM SQUARE” KAMPASI YA SOLOMOMAHLANGU

MUDA

TUKIO

MHUSIKA/WAHUSIKA

3.00.3.45

Wageni waalikwa kuwasili Kampasi ya Solomon Mahlangu:-

Wageni

Asubuhi

Nelson Mandela Freedom Square”

Kamati ya Maandalizi

3.00-3.45

Wageni Mashuhuri na Mgeni Rasmi kuwasili – Ofisi ya

Makamu wa Mkuu wa Chuo & Mkurugenzi wa SMC.

Asubuhi

Mkurugenzi Campus Ya Solomon Mahlangu

3.45 Asubuhi

Wageni Kuelekea Nelson Mandela Freedom Square

Makamu wa Mkuu wa Chuo, Mkurugenzi wa SMC, wageni

wote mashuhuri na Mgeni Rasmi

4.00.- 4.10

Taarifa kuhusu mhadhara wa kumbukumbu ya Mwalimu J.K.

Mkuu wa Chuo (Principal) Cha Sanyansi za Jamii na

Asubuhi

Nyerere

Humanitia

4:10 – 4:20 Asubuhi

Makamu wa Mkuu wa Chuo kutoa neno la utangulizi,

Makamu wa Mkuu wa Chuo

utambulisho na kukaribisha wageni

4.20- 4.30

Mgeni Rasmi Kufungua Mdahalo

Mheshimiwa Balozi Nicholus .A. Kuhanga

4.30 – 5.15 Asubuhi

Mchokoza Mada kutoa mada

Msimamizi (Moderator), Prof. H. Ngowi

5.15 – 5.55 Asubuhi

Wachangia mada

Prof. Adolf Mkenda

Dr. Nyantahe, S.

Prof Isinika, A.(SUA)

Mwenyekiti ( MVIWATA)

5.55- 6.05 Mchana

Shairi

Rashidi mfaume ( Kivuli _cha Mvumo)

6.05 – 6.45 Mchana

Wachangia mada

Dr. Tandari, C ( TIC)

Dr. Festus Limbu ( ESRF)

Prof. Benedict Mongula

Prof Silayo, V. ( SUA)

(IDS-UDSM)

6.45- 6.55 Mchana

Fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo na viwanda _

Mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Morogoro

Morogoro

6.55-8.30 Mchana

Maswali na Majibu

Msimamizi “Moderator” , Mchokoza mada,

Wachangia mada , Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi

8.30- 8.35

Neno la shukrani

Makamu Mkuu wa chuo Taaluma DVC ( AC)

 

Sponsored Links

Leave a Comment